Ofisi Zetu Katika Jengo la PPF, Garden Avenue/Ohio Street, 7th & 8th Floor
Huduma
Machapisho
Sheria
Tozo
Picha ya pamoja wakati wa Ziara ya Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya TASAC mkoani Tanga walipotembelea ujenzi wa bandari.
Picha ya pamoja kati ya menejimenti na baadhi ya wafanyakazi walioshiriki kwenye kikao cha wafanyakazi wa TASAC kilichofanyika JNICC Dar es Salaam
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Capt. Mussa Mandia akiwa na viongozi mbalimbali katika Maadhimisho ya Siku ya Bahari Duniani yaliyofanyika Visiwani Pemba.
Zoezi la Sensa ya Vyombo Vidogo vya Usafiri Majini likiendelea katika mialo mbalimbali Tanzania bara
Picha ya pamoja ya Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Bw. Kaimu Mkeyenge na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa wakitia sahihi makubaliano ya kufanya sensa ya kwanza ya vyombo vya usafiri kwa njia ya maji Tanzania bara.
Picha ya pamoja ya Mhe. Mha. Dkt. Leonard M. Chumuriho, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Bw. Gabriel J. Migire, Katibu Mkuu Sekta ya Uchukuzi, Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya TASAC wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi mpya katika ukumbi Miku
Mnara wa Kuongozea Meli wa MRCC
Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Capt. Mussa H. Mandia wamefanya ziara ya kikazi katika bandari ya Tanga. Wamepata......
TASAC yashiriki bonanza la michezo kwa wafanyakazi wake ikiwa ni mkakati wa kujenga mahusiani mazuri katika maeneo ya kazi na kuimarisha afya za wafanyakazi. Bonanza lilifunguliwa na Mkurugenzi Mku......
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa kushirikiana na ZMA wametoa elimu ya Usalama, Ulinzi na Utunzaji wa Mazingira katika mialo ya Mkwaja, Kipumbwi na Pangani Mkoani Tanga.
Lengo l......
TASAC katika kikao cha wadau kupokea maoni juu ya taarifa ya Mshauri Mwelekezaji kuhus Taratibu za Utendaji wa Wakusanyaji na Watawanyaji wa wa Mizigo. Kikao hiki kimefanyika katika Ukumbi wa JNICC......
Mhe. Atupele Fred (Mb), Naibu Waziri wa Uchukuzi akitoa maelekezo kwa Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) alipotembelea Shirika hili tarehe 24 Januari, 2022 ikiwa ni ziara ya......
Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Bw. Kaimu A. Mkeyenge amefanya mkutano mkuu wa mwaka wa wafanyakazi wa TASAC. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa JNICC, katika hotuba yake Mkurugenzi Mkuu amewasisiti......
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzanzania akitoa neno wakati wa warsha ya Siku ya Bahari Duniani
Afisa wa TASAC akitoa elimu kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vidogo katika zoezi la Sensa ya Vyombo Vidogo vya Usafiri Majini linaloendelea Tanzania Bara.
TASAC yashiriki maonesho ya 16 ya Kimataifa ya Biashara jijini Mwanza ambapo imepata fursa ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya majukumu na kazi zake. Watendaji wa TASAC walipata fursa ya kuongea na......
TASAC imeshiriki kikamilifu katika maonesho ya Wiki ya Mazingira Mkoani Dodoma ambapo imepata fursa ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya majukumu na kazi zake. Watendaji wa TASAC walipata fursa ya ku......
TASAC KATIKA MAONESHO YA BIASHARA MKOANI TANGA
TASAC imeshiriki kikamilifu katika maonesho ya Biashara Mkoani Tanga ambapo imepata fursa ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya majukumu na......
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la uwakala wa meli nchini (TASAC) Kaimu Mkeyenge (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya takwimu, Dkt. Albina Chuwa wakibadilishana hati ya utilianaji saini w......
TASAC YAFANYA MIKUTANO YA WASAFIRISHAJI SHEHENA NJE YA NCHI JIJINI DAR ES SALAAM, TANGA NA ARUSHA
Picha ya pamoja ya wadau walioshiriki mkutano wa uhamasishaji wa wasafirishaji wa sheh......
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), katika kutekeleza majukumu yake linawajibika kufanya shughuli za uwakala wa shehena za meli za mafuta. Hata hivyo Shirika linatarajia kuanza shughuli za......
TASAC ilifanikiwa kufanya Warsha wa Wadau kwenye Mpango wa Taifa wa Kujiandaa na Kupambana na Umwagikaji wa Mafuta kwenye Bahari na Maziwa (National Marine Oil Spill Contigency Plan- NMOSRCP .
KUKUSANYA MAONI YA WADAU JUU YA TOZO ZA TASAC
"Kumwezesha Mwanamke katika Jamii ya Usafiri Majini"