Habari
Imewekwa: 08/11/2021
Elimu kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vidogo katika zoezi la Sensa ya Vyombo Vidogo vya Usafiri Majini

Afisa wa TASAC akitoa elimu kwa wavuvi na wamiliki wa vyombo vidogo katika zoezi la Sensa ya Vyombo Vidogo vya Usafiri Majini linaloendelea Tanzania Bara.