Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Imewekwa: 07 October, 2023
Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja

Ndugu mdau wa TASAC, Kheri ya Wiki ya Huduma kwa Mteja.  Asante kwa kuendelea kuwa mdau wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania. TASAC inaahidi kuendelea kukupatia huduma bora. Tunafurahi kuwa timu moja nawe.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo