Habari

Imewekwa: 26/01/2022

Ziara ya Mhe. Atupele Fred (Mb), Waziri wa Uchukuzi alipotembelea TASAC

Ziara ya Mhe. Atupele Fred (Mb), Waziri wa Uchukuzi  alipotembelea TASAC

Mhe. Atupele Fred (Mb), Naibu Waziri wa Uchukuzi akitoa maelekezo kwa Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) alipotembelea Shirika hili tarehe 24 Januari, 2022 ikiwa ni ziara ya kwanza ya kikazi tangu alipoaminiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.