Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi atembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.

Imewekwa: 25 January, 2024
Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi atembelea banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi Prof. Godius Kahyarara akizungumza jambo kwenye Banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) alipoambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi Dkt. Ali Possi walipotembelea Banda la TASAC kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayofanyika katika viwanja vya Fumba, Zanzibar.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo