Mkurugenzi Mkuu wa TASAC na baadhi ya Wakurugenzi watembelea MRCC
Mkurugenzi Mkuu wa TASAC na baadhi ya Wakurugenzi watembelea MRCC
Imewekwa: 23 April, 2024
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) Bw. Mohamed Salum akiwa ameambatana na Mkururgenzi wa Ulinzi, Usalama na Utunzaji wa Mazingira Bi. Leticia Mutaki na Mkurugenzi wa Huduma za Shirika Bw. Hamidu Mbegu walipotembelea kituo cha Kuratibu Shughuli za Utafutaji na Uokoaji jijini Dar es Salaam.