Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

Mkurugenzi wa Usalama wa Usafiri na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi Bi. Stella Katondo akipata elimu kwenye banda la TASAC katika Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani.

Imewekwa: 24 June, 2024
Mkurugenzi wa Usalama wa Usafiri na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi Bi. Stella Katondo akipata elimu kwenye banda la TASAC katika Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani.

Mkurugenzi wa Usalama wa Usafiri na Mazingira wa Wizara ya Uchukuzi Bi. Stella Katondo akipata elimu kwenye Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania katika Maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Mabaharia Duniani yanayofanyika katika Viwanja vya Nia Njema Bagamoyo Mkoani Pwani.

Maonesho hayo yenye Kauli Mbiu: Mustakabali wa Uendeshaji Vyombo vya Usafiri Majini yameanza tarehe 22 Juni, 2024 na yanatarajia kuhutimishwa tarehe 25 Juni, 2024.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo