Habari

Imewekwa: 02/03/2022

TASAC NA ZMA WATOA ELIMU KATIKA MIALO MKOANI TANGA.

TASAC NA ZMA WATOA ELIMU KATIKA MIALO MKOANI TANGA.

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa kushirikiana na ZMA wametoa elimu ya Usalama, Ulinzi na Utunzaji wa Mazingira katika mialo ya Mkwaja, Kipumbwi na Pangani Mkoani Tanga.

Lengo la uelimishaji huo ni kuwataka wamiliki na waendesha vyombo vya usafiri majini kuzingatia suala la usalama wanapofanya shughuli za usafirirshaji