Habari

Imewekwa: 31/01/2020

TASAC YAJIPANGA KUANZA RASMI KUFANYA SHUGHULI ZA UWAKALA WA MELI WA SHEHENA ZA MAFUTA KUANZIA FEBRUARI 3, 2020.

TASAC YAJIPANGA KUANZA RASMI KUFANYA SHUGHULI ZA UWAKALA WA MELI WA SHEHENA ZA MAFUTA KUANZIA FEBRUARI 3, 2020.

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), katika kutekeleza majukumu yake linawajibika kufanya shughuli za uwakala wa shehena za meli za mafuta. Hata hivyo Shirika linatarajia kuanza shughuli za kupakua mafuta kuanzia Jumatatu 3, Februari 2020. Huu ni mfano wa moja ya meli ya shehena za mafuta zitakazokuwa zikihudumiwa na Shirika. .