Habari

Imewekwa: 15/03/2022

Ziara ya Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya TASAC mkoani Tanga

Ziara ya Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti  ya TASAC mkoani Tanga

Bodi ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi Capt. Mussa H. Mandia wamefanya ziara ya kikazi katika bandari ya Tanga. Wamepata fursa ya kukagua maeneo ya utendajikazi wa TASAC ikiwa ni pamoja na maboresho yanayoendelea katika Bandari hiyo