Habari

Imewekwa: 24/07/2021

TASAC YAFANYA MIKUTANO YA WASAFIRISHAJI SHEHENA NJE YA NCHI JIJINI DAR ES SALAAM, TANGA NA ARUSHA

TASAC YAFANYA MIKUTANO YA WASAFIRISHAJI SHEHENA NJE YA NCHI JIJINI DAR ES SALAAM, TANGA NA ARUSHA

TASAC YAFANYA MIKUTANO YA WASAFIRISHAJI SHEHENA NJE YA NCHI JIJINI DAR ES SALAAM, TANGA NA ARUSHA

Picha ya pamoja ya wadau walioshiriki mkutano wa uhamasishaji wa wasafirishaji wa shehena nje ya nchi uliofanyika jijini Tanga tarehe 16 Juni 2021. Mikutano mingine kama hii ilifanyika Dar es Salaam tarehe 14 Juni 2021 na Arusha tarehe 18 Juni 2021. Mikutano hii iliandaliwa na TASAC kwa kushirikiana na Tanzania Shippers Council, Inter Governmental Standing Committee on Shipping (ISCOS) na Viaservices.