Habari
Imewekwa: 24/07/2021
TASAC KATIKA MAONESHO YA BIASHARA MKOANI TANGA

TASAC KATIKA MAONESHO YA BIASHARA MKOANI TANGA
TASAC imeshiriki kikamilifu katika maonesho ya Biashara Mkoani Tanga ambapo imepata fursa ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya majukumu na kazi zake. Watendaji wa TASAC walipata fursa ya kuongea na wananchi waliotembelea banda pamoja na kufanya mkutano na waandishi wa vyombo vya habari mbalimbali kwa kina juu wa Shirika.