TASAC yashiriki Maonesho ya Kimataifa yaUsalama ya Afya Mahala pa kazi katika viwanja vya General Tire jijini Arusha
TASAC yashiriki Maonesho ya Kimataifa yaUsalama ya Afya Mahala pa kazi katika viwanja vya General Tire jijini Arusha
Imewekwa: 08 May, 2024
Wadau mbalimbali wa Usafiri kwa Njia ya Maji wametembelea banda la Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) katika maonesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya Mahali pa Kazi yanayoratibiwa na OSHA katika viwanja vya "General tyre", jijini Arusha.
Kauli mbiu ya maonesho hayo ni "Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi katika Usalama na Afya Kazini, Sajili Eneo la Kazi OSHA katika harakati za kupunguza Athari hizo"
Maonesho yameanza rasmi tarehe 23 Aprili, 2024 na yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 28 Aprili, 2024.