Habari

Imewekwa: 26/01/2022

Kikao cha Menejimenti na Wafanyakazi wa TASAC

Kikao cha Menejimenti na Wafanyakazi wa TASAC

Mkurugenzi Mkuu wa TASAC, Bw. Kaimu A. Mkeyenge amefanya mkutano mkuu wa mwaka wa wafanyakazi wa TASAC. Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa JNICC, katika hotuba yake Mkurugenzi Mkuu amewasisitiza wafanyakazi wote kufanya kazi kwa bidii kwa kufuata taratibu na sheria.