Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

TASAC yatoa elimu ya Usafiri kwa njia ya maji katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Imewekwa: 25 January, 2024
TASAC yatoa elimu ya Usafiri kwa njia ya maji katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Watumishi wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania TASAC wakiongozwa na Mkurugenzi wa Huduma za Shirika Bw. Hamidu Mbegu, wakitoa elimu kwa wadau waliotembelea banda la Shirika hilo katika maonesho ya Mapinduzi ya Zanzibar yanayoendelea katika viwanja vya maonesho Fumba visiwani humo.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo