Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

Wadau mbalimbali wakipata elimu juu ya usafiri kwa njia ya maji katika maonesho ya 16 ya wadau wa Sekta ya Uchukuzi.

Imewekwa: 16 January, 2024
Wadau mbalimbali wakipata elimu juu ya usafiri kwa njia ya maji katika maonesho ya 16 ya wadau wa Sekta ya Uchukuzi.

Wadau mbalimbali wametembelea banda la TASAC lililopo kwenye maonesho ya 16 ya wadau wa Sekta ya Uchukuzi yanayofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) kuanzia Disemba 5-8, 2023.

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) linawakaribisha wananchi wote wa jiji la Arusha na viunga vyake kutembelea banda lake ili kujipatia elimu juu ya shughuli mbalimbali za sekta ya usafiri na usafirshaji kwa njia ya maji.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo