Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

Waziri wa Uchukuzi aongea na wadau.

Imewekwa: 16 January, 2024
Waziri wa Uchukuzi aongea na wadau.

Waziri wa Uchukuzi Mhe. Prof. Makame Mbarawa amehutubia mkutano wa Mkutano wa 16 wa Tathmini ya Utendaji wa Sekta ya Uchukuzi (Joint Transport Sector Review Meeting- JSTR) leo tarehe 06 Desemba, 2023 katika ukumbi wa Mikutano wa Arusha International Conference Center (AICC) jijini Arusha.

Mhe. Mbarawa amewapongeza wadau wote kwa kushiriki mkutano huu wa kujitathimini na kuwasihi kuendelea kuchapa kazi kwa bidii kwa ajili ya manufaa ya taifa na wanachi wote kwa ujumla.

Menejimenti ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), ikiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo imekuwa ni miongoni mwa wadau walioshiriki mkutano huo uliohudhuliwa na wadau mbalimbali katika sekta ya uchukuzi.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo