10 March, 2025
TASAC YARATIBU KIKAO CHA KUKUSANYA MAONI YA WADAU KUHUSU KURIDHIA KIAMBATISHO CHA SITA CHA MKATABA WA KIMATAIFA WA KUZUIA UCHAFUZI WA MAZINGIRA YA BAHARI
Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) chini ya Wizara ya Uchukuzi, leo tarehe 10 Machi, 2025 limeratibu kikao cha...