Dira na Dhamira
Dira na Dhamira
DIRA:
Kuwa Mdhibiti wa Usafiri Majini wa viwango vya ubora wa Kimataifa na kuwezesha Tanzania kuwa Kitovu cha Usafiri Majini Duniani.
DHAMIRA:
Kudhibiti huduma za Usafiri Majini ili kuwa Salama, Shindani, na Rafiki kwa Mazingira ili kuchangia katika Ustawi wa jamii.