Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania

ISO 9001:2015 Certified

HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU WA SHIRIKA LA UWAKALA WA MELI TANZANIA-TASAC

23 March, 2023 Pakua

Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania-TASAC wakati wa kumkaribisha Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo  Mhe.Halima Habibu Okash kufungua mafunzo ya wadau wa usafiri majini juu ya mpango wa taifa wa maandalizi ya kupambana na umwagikaji wa mafuta baharini. Mafunzo hayo yalifanyika katika ukumbi wa Green uliopo Chuo cha Uongozi wa Elimu -Bagamoyo ambayo yalianza tarehe 20 hadi 22 Machi, 2023.

Mrejesho, Malalamiko au Wazo