Vitengo

Kitengo kinachojihusisha na huduma za Udhibiti Uchumi. Kitenngo hiki kinaongozwa na Mkurugenzi.

Hiki ni Kitengo kinachojihusisha na Ugavi na Manunuzi. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkuu wa Kitengo.

Hiki ni kitengo kinachojihusisha na Fedha na Uhasibu. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkurugenzi.

Hiki ni kitengo kinachojihusisha na Ukaguzi wa Ndani. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkaguzi Mkuu wa ndani.

Kitengo hiki kina simamia shughuli zote za TEHAMA na Takwimu za Shirika sawa sawa na mpango mkakati wa Shirika. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkuu wa Kitengo.

Kitengo hiki ni maalumu kwa Huduma za kisheria. Kitengo hiki kinaongozwa na Mkuu wa Idara.