Karibu

Ndugu Msomaji na Mteja!

Kwa heshima na taadhima tunapenda kukaribisha katika Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC).

TASAC imepewa mamlaka na wajibu wa kusimamia uendeshaji wa sekta ya usafiri wa majini, kuratibu na kuwezesha shughuli za upakiaji na uondoshaji wa shehena Bandarini.

Menejimenti, Watumishi na Wadau wa TASAC tunakuhakikishia kukupa huduma bora, zenye ufanisi, za kuridhisha na kwa wakati.

Unakaribishwa!